top of page

News Feed

View groups and posts below.


This post is from a suggested group

SANTURI – Sauti ya Ukweli wa Maisha 


Kuna kitu watu wengi hawakikubali… Sio kila anayekaa kimya ana amani. Wengine wananyamaza kwa sababu wamechoka kuelezea wanavyo jisikia. Unakuta mtu alikuwa anajitahidi kuongea, kueleza maumivu yake, kueleza anacho pitia… lakini hakusikilizwa. Sasa ameacha kuongea, si kwa sababu hana la kusema, bali ameona hakuna anayemuelewa.


Ukiona mtu amenyamaza sana, usikimbilie kusema ana kiburi.Inawezekana amechoka kupuuzwa. Inawezekana amejeruhiwa mara nyingi mpaka ameona ukimya ni salama zaidi kuliko maneno. Maisha yanahitaji kitu kimoja ambacho wengi wanakikosa — kusikiliza kwa moyo, sio kwa masikio tu.


  • Leo jaribu kitu kidogo: Msikilize mtu wako wa karibu bila kumkatiza… bila kumhukumu… bila kumpa majibu ya haraka. Wakati mwingine mtu hahitaji suluhisho… anahitaji tu ajisikie anaeleweka.


 Swali la leo: Je, wewe huwa unasikiliza kuelewa… au unasikiliza kujibu?— SANTURI

1 View

This post is from a suggested group

KWA NINI KUMTAKIA MTU MABAYA HUZUIA BARAKA ZAKO


Ngoja niliongeze jambo lingine ambalo watu wengi hawalijui. Katika ulimwengu wa kiroho kuna kanuni ya ajabu sana: moyo wa mtu ndio mlango wa baraka zake.Sasa tatizo linatokea pale mtu anapoanza kubeba:


  • Chuki


  • Kisasi


  • Tamanio la kumwona mwingine akianguka.


Bila kujua, anakuwa amefunga mlango wa baraka zake mwenyewe.


3 Views

This post is from a suggested group


ɪғ ɪ ғᴀʟʟ, ʟᴇᴛ ɪᴛ ʙᴇ ғᴏʀᴡᴀʀᴅ.

ɪғ ɪ ᴄʀʏ, ʟᴇᴛ ɪᴛ ᴡᴀᴛᴇʀ ᴍʏ ɢʀᴏᴡᴛʜ.


ʙᴜᴛ ᴘʟᴇᴀsᴇ ɢᴏᴅ, ᴅᴏɴ'ᴛ ʟᴇᴛ ᴍʏ sᴛᴏʀʏ ᴇɴᴅ ʜᴀʟғᴡᴀʏ… ʙᴇᴄᴀᴜsᴇ ɪ ᴋɴᴏᴡ ɪ ᴀᴍ ʜᴏᴘᴇ ғᴏʀ ᴍᴀɴʏ, ɪ ᴀᴍ ᴀ ʀᴏᴀᴅ sᴏᴍᴇᴏɴᴇ ᴡɪʟʟ ᴡᴀʟᴋ ᴏɴ ᴏɴᴇ ᴅᴀʏ. ғᴀᴛʜᴇʀ, ʏᴏᴜ ᴋɴᴏᴡ ᴛʜᴇ ɴɪɢʜᴛs ɴᴏ ᴏɴᴇ sᴇᴇs… ᴛʜᴇ sɪʟᴇɴᴛ ʙᴀᴛᴛʟᴇs ɪ ғɪɢʜᴛ ᴡʜᴇɴ ᴛʜᴇ ᴡᴏʀʟᴅ ɪs ᴀsʟᴇᴇᴘ. ʏᴏᴜ ᴋɴᴏᴡ ᴛʜᴇ ᴛᴇᴀʀs ᴛʜᴀᴛ ғᴀʟʟ ᴡʜᴇɴ ɪ sɪᴛ ᴀʟᴏɴᴇ, ᴛʀʏɪɴɢ ᴛᴏ ᴜɴᴅᴇʀsᴛᴀɴᴅ ᴡʜʏ ᴛʜᴇ ᴊᴏᴜʀɴᴇʏ sᴏᴍᴇᴛɪᴍᴇs ғᴇᴇʟs ʜᴇᴀᴠɪᴇʀ ᴛʜᴀɴ ᴍʏ sᴛʀᴇɴɢᴛʜ. ᴛʜᴇʀᴇ ᴀʀᴇ ᴅᴀʏs ɪ sᴍɪʟᴇ ᴏᴜᴛsɪᴅᴇ, ʙᴜᴛ ɪɴsɪᴅᴇ ᴍʏ ʜᴇᴀʀᴛ ɪs ǫᴜɪᴇᴛʟʏ ᴀsᴋɪɴɢ, “ᴡɪʟʟ ɪ ʀᴇᴀʟʟʏ ᴍᴀᴋᴇ ɪᴛ ᴛʜʀᴏᴜɢʜ ᴛʜɪs?”


sᴏᴍᴇᴛɪᴍᴇs ᴛʜᴇ ᴡᴏʀᴅs ɪɴsɪᴅᴇ ᴍᴇ ʀᴇᴍᴀɪɴ ᴜɴsᴘᴏᴋᴇɴ, ᴛʀᴀᴘᴘᴇᴅ ʙᴇᴛᴡᴇᴇɴ ғᴀɪᴛʜ ᴀɴᴅ ᴘᴀɪɴ.

sᴏᴍᴇᴛɪᴍᴇs ɪ ʟᴏᴏᴋ ᴀᴛ ᴛʜᴇ ᴅᴀʀᴋɴᴇss ᴀʀᴏᴜɴᴅ ᴍᴇ ᴀɴᴅ ᴡᴏɴᴅᴇʀ ɪғ ᴛʜᴇ ᴍᴏʀɴɪɴɢ ᴡɪʟʟ sᴛɪʟʟ ʀᴇᴍᴇᴍʙᴇʀ ᴍʏ ɴᴀᴍᴇ. ʙᴜᴛ sᴏᴍᴇʜᴏᴡ… ᴇᴠᴇʀʏ ᴍᴏʀɴɪɴɢ ʏᴏᴜ ᴀʟʟᴏᴡ ᴍʏ ᴇʏᴇs ᴛᴏ ᴏᴘᴇɴ ᴀɢᴀɪɴ. ᴀɴᴅ ᴛʜᴀᴛ ᴀʟᴏɴᴇ ʀᴇᴍɪɴᴅs ᴍᴇ ᴛʜᴀᴛ ᴍʏ…


2 Views

This post is from a suggested group

USIKU NDIO UKWELI HUTOKA – SIKILIZA MOYO WAKO


Kuna kitu cha ajabu sana kuhusu usiku ambacho wengi hawakielewi. Mchana unaweza kujaza kelele, shughuli, watu, na vicheko vya kujilazimisha… lakini usiku ukifika, kila kitu kinatulia. Hakuna distraction. Hakuna kujificha. Ni wewe na nafsi yako tu. Na hapo ndipo ukweli huanza kuongea. Nina kumbuka kuna kipindi nilikuwa nakimbia sana hisia zangu. Nilijaza siku zangu na shughuli, nikawa bize kupita kiasi, si kwa sababu nilikuwa na kazi nyingi sana… bali kwa sababu nilikuwa naogopa kukaa kimya. Kwa sababu nilijua nikikaa kimya, kuna sauti itanifuata. Sauti ambayo haipigi kelele, lakini ina nguvu kuliko zote.


Usiku ulipofika, mambo yalibadilika. Nili lala kitandani, taa zime zimwa, simu pembeni… halafu ghafla mawazo yanaanza kuja. Sio yale ya kawaida. Ni yale unayo yakimbia mchana. Kumbukumbu, maamuzi, watu, makosa… kila kitu kina jitokeza bila ruhusa. Na hapo ndipo nilipo anza kuelewa usiku hauleti mawazo mapya, una funua yale uliyokuwa una yaficha.

Sasa nikuulize… Je, umewahi kujikuta usiku…


2 Views

This post is from a suggested group

Ukweli ambao wanapaswa kuufahamu dada zetu, sponsor hatoi maisha..💔


Hawezi kukupa uchumi utakaokupa uhuru wa kujitegemea, kwake hiyo ni sawa na yeye kujipiga risasi ya mguu..


Anajua unachompendea ni Pesa, kwa kuzingatia hili atahakikisha unapata Pesa ya kujikimu tu. Sio ya maendeleo kwaajili ya kesho yako.


Hapa ndipo huwa zinakuja kesi nyingi za ameninunulia iphone 16 ya zawadi. Lakini nikimwambia anifungulie biashara ananikwepa.


Atakupangia apartment kali, kodi laki 5, ambayo anajua ukiachana nae huwezi kulipa. Anaku-spoil kwenye hotel za gharama, lakini hela ya nauli anayokupa wewe kurudi kwako haifiki hata nusu ya chumba cha usiku mmoja..


Atakuchukua na kukupeleka vacation ku-enjoy bata kali, lakini hawezi kukujengea msingi imara wa wewe kujitegemea bila uwepo wake..


2 Views

This post is from a suggested group

SIRI YA MAJINI – KWA NINI SI KILA ELIMU INAFUNDISHWA KWA VITENDO


  • Ulimwengu wa majini upo, hilo halipingiki katika imani nyingi hasa Kiislamu. Lakini kuna ukweli mmoja ambao watu wengi hawapendi kuusikia: binadamu hajapewa mamlaka ya kuyadhibiti au kuyatumia majini kwa faida binafsi bila athari.


Hekima kuu:


1. Majini wana akili na hiari kama binadamu si watumwa wa mtu.


2. Kila “wito” wa jini mara nyingi huja na masharti ya siri.


  • Unacho kiita, kinaweza kisije kama ulivyo tarajia.


2 Views

This post is from a suggested group


It does not matter whether your wife has a job and earns money or does not work at all; the responsibility of providing for her and your family is yours as a man. This does not mean that a woman has no role to play, but it highlights your position as the leader of the family, ensuring that essential needs are met and that the household remains stable and secure. A real man does not measure his responsibilities based on his wife's income. He stands firm in his duties without making excuses. If his wife contributes financially, it should be viewed as a blessing that helps the family's progress, not as a reason for him to reduce his own responsibilities.


A strong family foundation begins with you as the man. Learn to be responsible, plan wisely, and manage your family with wisdom. A man's honor is reflected in the way…


3 Views

This post is from a suggested group


Haijalishi mkeo anafanya kazi na anapata pesa au hafanyi kazi, jukumu la kumtunza yeye na familia yako ni lako wewe mwanaume. Hii haimaanishi mwanamke hana mchango, bali ina onyesha nafasi yako kama kiongozi wa familia kuhakikisha mahitaji muhimu yanapatikana na nyumba inasimama imara. Mwanaume halisi hapimi majukumu kwa kipato cha mke wake, anasimama kwenye wajibu wake bila kisingizio. Mke akichangia, iwe ni baraka ya kusaidia maendeleo, sio sababu ya wewe kupunguza wajibu wako, msingi mzuri wa nyumba unaanzia kwako mwanaume. Jifunze kuwajibika, kupanga na kusimamia familia yako kwa busara. Heshima ya mwanaume ina onekana kwenye namna anavyo linda na kutunza familia yake.


Kumbuka: Uwajibikaji wako ndio msingi wa utulivu wa familia simama imara hata kama hali ni ngumu.

2 Views

This post is from a suggested group

“Kuna watu wanakushika… lakini hawakupendi.”


Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ukiona mtu anakutafuta sana, ana kutamani, anakugusa kwa hisia nyingi… basi huo ndio upendo. Nilikuwa naamini ukaribu wa mwili una maanisha ukaribu wa moyo. Lakini maisha yalinifunza kitu tofauti sana. Sio kila anaye kushika anakujali. Wengine wanataka tu kujaza upweke wao kupitia wewe. Wanataka kuhisi kuna mtu karibu nao usiku, lakini si kwa sababu wamekupenda kwa dhati. Na kibaya zaidi, unapo kuwa mtu mwenye moyo wa kweli, huwa ni rahisi sana kuchanganya attention na mapenzi.


Nakumbuka kuna siku nilikaa na mtu mmoja karibu sana, lakini ndani nilihisi upweke kuliko hata nilivyo kuwa peke yangu. Tulikuwa tunacheka, tuna gusana, tunaongea… lakini kuna sehemu ya moyo wangu ulikuwa una nong’ona kimya kimya, “Hapa kuna kitu kina kosekana.” Na unajua kitu gani huwa kinauma zaidi? Ni pale unapo gundua mtu alikuwa ana hitaji uwepo wako lakini si wewe.


  • Alikuwa anahitaji comfort.


  • Alikuwa anahitaji distraction.


  • Alikuwa anahitaji mtu wa…


4 Views
bottom of page